Posts

Showing posts with the label drama

Kwa Sasa Inapatikana Kwa www.machampalimedia.com

Image
Usipitwe na habari, matukio na vitu vingine vingi vipya vinapochipuka.Utaendelea kupata uhondo wote uliokua ukiupata humu ndani kupitia www.machampalimedia.com . Ni bora zaidi na vitengo vingi zaidi, usipitwe, bonyeza  >>  HAPA << uweze kuji,update.

Mhubiri Ajiua Bamburi Baada Ya Kutuma Picha Ya Uchi Wake Whatsapp

Image
Mhubiri mmoja katika mtaa wa Bamburi amejitoa uhai baada ya kutuma picha ya uume wake katika group ya whatsapp. Amos Kinyaa ambaye ni kasisi wa Heaven Is Home Ministry iliyopo Bamburi alituma picha hio ya uchi wake kwa bahati mbaya katika group ya whatsapp ya waumini wa kanisa lake. Lengo lake lilikua ni kutuma picha hio kwa mpango wake wa kando ili amtaarifu ya kwamba mke wake hayupo kwa hio watakua wanachepuka usiku huo ila picha hio akaitumwa kwa group ya waumini wake. Waumini waliopo katika group hio walimkemea kasisi huyu wasijue ya kwamba pastor alokua amejutia na kujitia kitanzi. Wengi walisema ya kwamba walikua wakimshuku kwa mda mrefu ya kwamba alikua anachepuka na kondoo wake huyo ila alipowahi kuulizwa alisema a kwamba yeye ni baba wa kila mshirika wa kanisa lake hivyo basi ukaribu wake na mwanadada huyo ilikua ni kama vile tu baba na bintiye