Posts

Showing posts from April, 2015

NEW VIDEO; Kamikaze-NIKIKUONA

Image

NEW VIDEO; Mo Music-NITAZOEA

Image

NEW VIDEO; Twenty Two-MCHUMBA

Image

NEW VIDEO; SautiSol feat Amos & Josh-NEREA

Image

NEW VIDEO; Ally B feat Pero-Music

Image

NEW VIDEO:BEN POL-SOPHIA

Image

NEW TRACK:AMOUR BABY-SEBENE

Image
  LISTEN

MSIKILIZE DOGO RICHIE AKIONGEA KUHUSU COLLABO ZAKE TATU NA WASANII WAKUBWA KUTOKA BONGO

Image
Dogo richie ni msanii ambaye amejizolea umaarufu mkubwa katika ramani ya mziki wa kizazi kipya afrika mashariki haswa kupitia utunzi wake wa track kali kama vile naona raha,sina raha na hayana mjuzi miongoni mwa nyimbo nyingi tu zinazompa nafasi kubwa katika soko la mziki wa kisasa.Baada ya kuachia video ya wimbo wa hayana mjuzi,msanii huyu alizima na kukaa kimya kitu ambacho kiliwaacha mashabiki wake na maswali mengi,kama inavyosemekana kuwa kimya kingi kina mshindo,leo katika kipindi cha sifa paradise dogo richie amefunguka mengi katika mazungumzo yake na Mp Kelvin jilani kuhusu kimya chake na kuweka wazi kuwa kwa sasa tayari ashafanya kazi na wasanii wenye majina makubwa kutoka bongo,ili kumsikiliza bonyeza   LISTEN Hii hapa Track aliomshirikisha sam wa ukweli isikilize LISTEN TRACK

NEW TRACK:MO MUSIC-NIMEZOEA

Image
    LISTEN

MSANII DAZLAH KUIACHILIA VIDEO YA WIMBO WA KIDEKIDE JUMAMOSI YA TAREHE 11 APRILI

Image
Video ya collabo ya msanii Dazlah na Susumila iliyosubiriwa na wengi inatarajiwa kuachiliwa rasmi jumamosi ya tarehe 11 Aprili.Video hiyo inatarajiwa kupatikana katika mtandao wa youtube pamoja na vituo mbalimbali vya televisheni afrika mashariki... MWAMBIE MWENZIO