MSIKILIZE DOGO RICHIE AKIONGEA KUHUSU COLLABO ZAKE TATU NA WASANII WAKUBWA KUTOKA BONGO

Dogo richie ni msanii ambaye amejizolea umaarufu mkubwa katika ramani ya mziki wa kizazi kipya afrika mashariki haswa kupitia utunzi wake wa track kali kama vile naona raha,sina raha na hayana mjuzi miongoni mwa nyimbo nyingi tu zinazompa nafasi kubwa katika soko la mziki wa kisasa.Baada ya kuachia video ya wimbo wa hayana mjuzi,msanii huyu alizima na kukaa kimya kitu ambacho kiliwaacha mashabiki wake na maswali mengi,kama inavyosemekana kuwa kimya kingi kina mshindo,leo katika kipindi cha sifa paradise dogo richie amefunguka mengi katika mazungumzo yake na Mp Kelvin jilani kuhusu kimya chake na kuweka wazi kuwa kwa sasa tayari ashafanya kazi na wasanii wenye majina makubwa kutoka bongo,ili kumsikiliza bonyeza
 LISTEN

Hii hapa Track aliomshirikisha sam wa ukweli isikilize
LISTEN TRACK

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele