Posts

Showing posts from September, 2015

Photos of artistes performances during last Sundays Mombasa International Marathon

Image

NEW MUSIC: Yamoto Band/Mkubwa Na Mwanawe-IMO

Image
Baada ya kutoka track yao ya MADOIDO , ambayo video yake ilifanywa Afrika Kusini na Micheal Uche Ogok/ Godfather na gharama zote kusimamiwa na Diamond Platinumz, Yamoto Band/Mkubwa na Wanawe wamekuja na hii mpya inayoenda kwa jina la IMO. Ni track nzuri sana, wameonyesha uwezo wao kama kawa lakini nahisi Producer Fragga wa Uprise Music hajatendea haki ngoma hii kwani alitumia beat ile ile aliyomfanyia Ali Nipishe katika wimbo wake wa WANAPEPETA. bonyeza hapa ku,download/kusikiliza IMO  

EPILEPSY AFRO FASHION FAIR

Image
The event which will be held on 3rd October, at Bishop Hannington Institute, Buxton Mombasa starting from 2pm to 7am is meant to create awareness and raise money to support children living with epilepsy. Clothes and art pieces will be on sale and 20% of the sales proceeds will be contributed to give medical support to children livin with epilepsy. Neo Band Kenya, Margaret Sheila, Moses Mboka & BHI Choir will also be there to entertain. Invite evryone........Come and together lets create awareness and overcome stigmatization Fot Inquiries, contact-0729747026

NEW MUSIC: Dully Melody-HONGERA

Image
Abdul Jimmy au kwa jina la usanii DULLY MELODY ni msanii chipukizi ambaye amejaaliwa uwezo si haba katika utunzi na kuimba. Japo kipaji anacho, ilikua vigumu kupenya kwenye anga za mziki kwa kua hela ilimpiga chenga lakini kwa kua kipaji hakifichiki, msanii Fisherman aliona uwezo wa Dully n akaamua kumgaramia kurekodi kwa Noor Mwamba , MWAMBA RECORDS. Alikiba ndiye msanii anayempa motisha Dully na ni ndoto yake kuja kufanya kazi na gwiji huyo. bonyeza hapa ku,dowload/kuskiliza wimbo huu

Kaa La Moto aingia Bongo movie

Image
Ukizungumzia mziki wa HipHop pwani, bila shaka utakosea usipomtaja msanii Kaa La Moto Kiumbe , msanii ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha my voice my choice. Hivi majuzi tu Kaa La Moto alikua nchi jirani ya tanzania ambapo alishirikishwa katika movie. Katika movie hio, Kaa ameigiza kama mwanawe muigizaji mkongwe wa bongo movie, Mhogo Mchungu na Bi Rehema . Vilevile Kaa akiwa ni mmoja  wa wasanii wanaokuza kiswahili, akiwa Tanzania, Kaa alipata fursa mya kuwekwa katika orodha ya wasanii watakaofanya kazi na BAKITA (Baraza la Kiswahili Tanzania) , baraza lenye mipango ya kukuza kiswahili kupitia sanaa Africa Mashariki .

NEW VIDEO: Burna Boy-FOLLOW ME

Image
Spaceship Entertainment , wamedondosha video mpya ya BURNABOY kwa jina FOLLOW ME  

NEW VIDEO: Chris Brown- LIQUOR / ZERO

Image
Brown ameachia video mbili kwa pamoja...yani video moja yenye nyimbo mbili...au tuseme video hii ni 2 in 1.  Nyimbo LIQUOR & ZERO ndio nyimbo mbili zilizowekwa katika video hii yenye urefu wa dakika tisa na sekunde ishirini na saba.

NEW VIDEO: Davido-DODO

Image
HKN record label boss, DAVIDO has drdop this new video titled DODO. If you're fortunate for your crush to fall in love with you. Your best crush in life is called Dodo.  

NEW VIDEO: Nelly Feat Jeremih- THE FIX

Image
Ikiwa ni moja wapo ya nyimbo zilizo sample hits za zamani, Nelly ambaye anaendelea kukamilisha album yake ya nane amemshirikisha Jeremih ametumia chorus ya Sexual Healing ya Marvin Gaye.  

NEW VIDEO: D'Banji Feat Akon-FROSH

Image
Kutoka kwa Album yake, AN EPIC JOURNEY, D'BANJI ameachia video hii aliyomshirikisha Akon  

NEW VIDEO: T.I - BROADCAST LIVE

Image
T.I ambaye anarekodi album yake ya 10 kwa sasa inayoitwa DA DIME TRAP , hivi karibuni tu aliachana na label ya COLUMBIA Records na kutia saini kwa mkataba binafsi na EMPIRE DISTRIBUTION , aliachia rasmi video hii hapo jana (25-09-2015) akisherehekea siku yake ya kusaliwa na kutimiza miaka 35.

NEW VIDEO: KCee-OGBOMMA

Image
'Agbomma' , a Spanking new wedding music video, very dramatic and entertaining music with cameo appearances from top Nollywood stars: PATIENCE OZOKU, CHIWETALU AGU, BISHOP UMOH, CHACHA EKE FAANI etc.

NEW MUSIC:Kaka Mlezi & Petrooz-TINGIKA

Image
T his is another one from Stantmastaz Records produced by Producer Petrooz. lick here tp download/listen  

NEW MUSIC:HATA WASEME - MEDALLION

Image
Sebatian Swaleh, going by the artistic name as Medallion (Mr. Darlio wa super ladies) is based in Mombasa and does almost all genres of music.   click here to download?listen

NEW MUSIC: King Kaka Feat Baraka Da Prince-MOLA

Image
Rabbit aka Kaka Sungura has decided to make Tanzania his 2nd home this year.He was featured by WEUSI in the GERE remix , he then featured 2members of WEUSI in his song titled NAJIPENDELEA . He didnt stop there, he then featured one of bongoz hitmaker Rich Mavoko , who is now signed to his music label, KAKA EMPIRE in 2 songs- NJOO & LINI . Rabbit is back again with this new track which he has features one of the next big hit in East Africa, BARAKA DA PRINCE . The song was produced in tanzania by Mr T Touchez. CLICK HERE TO DOWNLOAD/LISTEN  

NEW MUSIC: Obinna Feat Susumila-BUSY BODY

Image
Susumila mwaka huu anashangaza wengi kwani kufikia saa hii hesabu ya nyimbo alizofanya mwenyewe na kushirikishwa mwaka huu ni zaidi ya kumi na hii ni mpya ambayo ameshirikishwa na mtangazaji/presenter/comedian kutoka Nairobi, Obinna Ike Igwe. Hii ni track ambayo naamini itavuruga sana chati za mziki kwani ina mdundo safi na mashairi na flow ya wimbo yako sambamba. BONYEZA HAPA KUSIKILIZA/ KU,DOWNLOAD

***EXCLUSIVE VIDEO*** Obinna Feat Susumila-BUSY BODY

Image
A feel good song done by Obinna the Oga DTop and on this single he features Mombasas hitmaker Susumila who takes the song a notch higher with the coast vibe and flow. The Audio was done at Hybrid Records and video done by Cliptown Media directed by BwuoyP and Obinna. This is Susumilas 5th video this year and he stil expects to release 3 or 5 videos before the year ends

NEW MUSIC: GBT'z-MPERA MPERA

Image
GBT'z Kutoka Malindi City....walmekua kimya sana lakini wameamua kuvunja ukimya wao na  hii mpya mpya iliyotayarishwa na AMZ WA LEO , SQ RECORDS.   SKILIZA / DOWNLOAD HAPA