NEW MUSIC: Obinna Feat Susumila-BUSY BODY
Susumila mwaka huu anashangaza wengi kwani kufikia saa hii hesabu ya nyimbo alizofanya mwenyewe na kushirikishwa mwaka huu ni zaidi ya kumi na hii ni mpya ambayo ameshirikishwa na mtangazaji/presenter/comedian kutoka Nairobi, Obinna Ike Igwe. Hii ni track ambayo naamini itavuruga sana chati za mziki kwani ina mdundo safi na mashairi na flow ya wimbo yako sambamba.
BONYEZA HAPA KUSIKILIZA/ KU,DOWNLOAD
Comments
Post a Comment