Posts

Showing posts with the label Fashion

Mlezi Wa Models Wengi Maarufu Aeleza Kwanini Models Wengi Hufeli

Image
Dya Candy si jina geni katika sanaa ya uana mitindo. Kampuni yake ya Fuschia Creativity ambayo kwa sasa ni clotheline na beauty world ndio kampuni ya kwanza mjini Mombasa ku,manage wanamitindo. Sandra Shiqo, Ruthalia Michaels, Anita Nzaro, Talal, Catherine Mage na Catherine Ariana ni miongoni mwa wanamitindo maarufu ambao wamewahi kupitia mikononi mwake kuwafunza kazi ya uanamitindo. Ni warembo wengi na vijana wengi wamekua wakijaribu kua wanamitindo lakini wamekua wakiacha kazi hio kwa kua wanaona ya kwamba haina mwelekeo mzuri, wengi wakisema ya kwamba wananyanyaswa kimapenzi na wengine wakisema ya kwamba malipo yako chini hivyo basi haiwezi kua kama kazi, je shida iko wapi, mbona wengine wanadumu katika sanaa hii na kuweza kujikimu na kujtengenezea majina makubwa? Mwanamitindo huyu gwiji anasema ya kwamba wanamitindo wengi wanaochipukawamekua wakibuma baada yam da mfupi kwa kua hawajui wanachokifanya na nasaha nayowapa ni kwamba   wanafaa wawe wakifanya kazi na mtu ...