GBT'z Kutoka Malindi City....walmekua kimya sana lakini wameamua kuvunja ukimya wao na hii mpya mpya iliyotayarishwa na AMZ WA LEO, SQ RECORDS. SKILIZA / DOWNLOAD HAPA
Mtaa Kwa Mtaa- Country Boy akimshirikisha GNAKO ni moja kati ya track za hiphop ambazo zili,hit sana mwaka jana. Hii hapa ni remix ya hit hio ikiwa mara hii Stamina, ChidiBend na Climax Bibo wameingia mzigoni. DOWNLOAD/LISTEN HERE
Comments
Post a Comment