NEW VIDEO: Chris Brown- LIQUOR / ZERO
Brown ameachia video mbili kwa pamoja...yani video moja yenye nyimbo mbili...au tuseme video hii ni 2 in 1. Nyimbo LIQUOR & ZERO ndio nyimbo mbili zilizowekwa katika video hii yenye urefu wa dakika tisa na sekunde ishirini na saba.
Comments
Post a Comment