NEW VIDEO: T.I - BROADCAST LIVE
T.I ambaye anarekodi album yake ya 10 kwa sasa inayoitwa DA DIME TRAP, hivi karibuni tu aliachana na label ya COLUMBIA Records na kutia saini kwa mkataba binafsi na EMPIRE DISTRIBUTION, aliachia rasmi video hii hapo jana (25-09-2015) akisherehekea siku yake ya kusaliwa na kutimiza miaka 35.
Comments
Post a Comment