NEW MUSIC: Yamoto Band/Mkubwa Na Mwanawe-IMO
Baada ya kutoka track yao ya MADOIDO, ambayo video yake ilifanywa Afrika Kusini na Micheal Uche Ogok/ Godfather na gharama zote kusimamiwa na Diamond Platinumz, Yamoto Band/Mkubwa na Wanawe wamekuja na hii mpya inayoenda kwa jina la IMO.
Ni track nzuri sana, wameonyesha uwezo wao kama kawa lakini nahisi Producer Fragga wa Uprise Music hajatendea haki ngoma hii kwani alitumia beat ile ile aliyomfanyia Ali Nipishe katika wimbo wake wa WANAPEPETA.
bonyeza hapa ku,download/kusikiliza IMO
Comments
Post a Comment