NEW MUSIC: Dully Melody-HONGERA

Abdul Jimmy au kwa jina la usanii DULLY MELODY ni msanii chipukizi ambaye amejaaliwa uwezo si haba katika utunzi na kuimba. Japo kipaji anacho, ilikua vigumu kupenya kwenye anga za mziki kwa kua hela ilimpiga chenga lakini kwa kua kipaji hakifichiki, msanii Fisherman aliona uwezo wa Dully n akaamua kumgaramia kurekodi kwa Noor Mwamba, MWAMBA RECORDS. Alikiba ndiye msanii anayempa motisha Dully na ni ndoto yake kuja kufanya kazi na gwiji huyo.
bonyeza hapa ku,dowload/kuskiliza wimbo huu

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele