MSANII DAZLAH KUIACHILIA VIDEO YA WIMBO WA KIDEKIDE JUMAMOSI YA TAREHE 11 APRILI
Video ya collabo ya msanii Dazlah na Susumila iliyosubiriwa na wengi inatarajiwa kuachiliwa rasmi jumamosi ya tarehe 11 Aprili.Video hiyo inatarajiwa kupatikana katika mtandao wa youtube pamoja na vituo mbalimbali vya televisheni afrika mashariki...MWAMBIE MWENZIO
Comments
Post a Comment