CHIDI BENZ AOKOLEWA NA MAMA YAKE

Rapper mkali kutoka mtaa wa ilala Dar rees salam Chid Benz aepushwa kifungo cha miaka miwili gerezani na mama yake.Rapper huyo siku ya alhamisi alikua amehukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani au alipe faini ya shillingi laki saba za tanzania ambapo mamake alimlipia faini hiyo iliyomuweka chidi huru uraiani tena.Hukumu hiyo ilitolewa  baada ya  chidi kupatikana na hatia ya makosa matatu ikiwemo kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya sh. 38, 638, bangi yenye thamani ya sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo.Mnamo Februari 18 Chidi Benz aliwahi  kukiri makosa yote matatu mbele ya Hakimu.

Comments

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. haikai freshi kwa wasanii kupatikana na kashfa za dawa za kulevya.ni aibu sana

    ReplyDelete
  3. haikai freshi kwa wasanii kupatikana na kashfa za dawa za kulevya.ni aibu sana

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele