Huenda ukawa una maswali mengi kuhusu ukimya wa Msanii kutoka pwani Susumila ambaye kwa sasa anatamba na ngoma ya Hidaya.Susumila amefunguka mengi saana kumhusu katika kipindi cha Sifa paradise ndani ya Sifa f.m ikiwemo malengo yake ya mwaka wa 2015,kuhusu ngoma yake mpya ambayo anatarajia kuiachilia ijumaa 27/2/2015,wasanii ambao atashirikiana nao,pamoja na uhusiano wake na aliyekua producer wake TK2.Kwa yote haya na mengi zaidi bonyeza link iliyopo hapo chini kumsikiliza msanii huyo moja kwa moja katika mahojiano yake ndani ya kipindi cha sifa paradise na Mp kelvin jilani
DOWNLOAD
Comments
Post a Comment