NEW MUSIC:PASS K FT SWAHIB-MCHUMBA

Skiza na kudownload wimbo mpya wa msanii kutoka studio ya Crack sound kilifi kwa jina pass k akiwa amemshirikisha swahib.Wimbo wenyewe unaenda kwa jina la mchumba na umetayarishwa na producer j crack.Pass k ni msanii ambaye amewahi kutamba na vibao kama vile tatizo la moyo,nakufuata na fadhila vyote akimshirikisha shaah biggy.

DOWNLOAD

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele