Msanii anayetamba saana kwa sasa na wimbo wake kale kale Dazlah kiduche ameonekana kujipanga saana mwaka huu kukuletea wewe kama shabiki mziki mzuri mwaka.Huyu hapa Dazlah akifunguka ndani ya sifa paradise kuhusu beef zilizopo kati ya wasanii wa mombasa,show yake ya dubai,mipango yake ya mwaka pamoja na unayofaa kutarajia kutoka kwake na Susumila.kwa mengi zaidi bonyeza hapo chini kusikiliza mahojiano ya msanii Dazlah akiwa na Mp kelvin jilani. BONYEZA HAPA KUSIKILIZA LISTEN