MWANAUME MMOJA HUKO NIGERIA AJARIBU KUMBAKA MWANAWE ILI AHAKIKISHE KAMA KWELI NI BIKRA
Mwanaume mmoja kwa jina la Alex ametiwa nguvuni baada ya jaribio la kumbaka mwanawe wa miaka 15 nyumbani kwao lagos Nigeria ili kuhakikisha kama kweli msichana huyo alikua bado bikra.Jamaa huyo alijaribu kufanya kitendo hicho wakati mkewe alikua hayupo nyumbani ila hakufanikiwa kwani baada tu ya msichana huyo kupiga kelele,majirani walijitokeza kwa wingi kumuokoa kutokana na unyama huo na moja kwa moja kumkabidhi mshukiwa huyo kwa polisi.
Comments
Post a Comment