AUGUST ALSINA APOFUKA JICHO LA KUSHOTO

Mashabaki wa muimbaji mkali wa R&B  wa Marekani, AUGUST ALSINA  wameshtushwa na kuhuzunishwa na habari kwamba mkali huyu anapoteza uwezo wa kuona.
AUGUST, mwenye umri wa miaka 22, amesema kua ugonjwa wa macho unaomsumbua umesababisha  jicho lake la kushoto kupofuka hivyo basi kumlazimu kufanyiwa upasuaji jicho lake la kulia ambalo nalo linaelekea kupoteza uwezo wa kuona.
Kupitia Instagram, ameshare kwa followers wake 2.7million picha akiwa chumba cha upasuaji na kuandika message ya hisia zake kuhusu hali yake



Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele