COMING SOON!!!!!!
Hivi ishawahi tokea Mr. Joseph Mayanja aka Dr Jose Chameleone akatoa nyimbo ikakosa kuwa hit?
Baaaaaas, ulipo ukae mkao wa kula maana Legendary huyu wa Africa Mashariki, anayepeperusha bendera ya Uganda anakuja na kitu kipya...

Comments
Post a Comment