DAVIDO COLLABOS WITH TREY SONGZ

Ni ndoto kubwa ya artistes wengi wa africa kufanya kazi na wanamziki wakubwa wa America kama vile Tret Songz, lakini kwa hili  tayari David Adeleke aka DAVIDO ashatimiza ndoto hii.
Davido ame,confirm kwamba tayari amefanya collabo na superstar aliye na fans wengi sana wa kke, TREY SONGZ. Hint kuhusu collabo hio ilianza kujulikana pale List ya nyimbo za album yake inayokuja ku,leak kabla haijakua confirmed.
 Davido ameisifu collabo hio akisema itapendwa sana na mabinti, haswa ukizingatia jinsi TREY SONGZ anavyofagiliwa sana na mabinti hata hapa East Africa.
 Davido ali,tweet
Album mpya ya Davido-OBO inatarajiwa kutoka mwezi ujao itakua na collabos na wasanii  kadhaa ikiwemo  MEEK MILL ambaye tayari washa,shoot video ya wimbo huo.


Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele