Young Dee amefanya wimbo huu maalum kwa ajili ya marehemu Albert Mangwea aka Cowbama aka Cowizzy aka MIMI aliyefariki siku kama ya leo 28th MAY miaka miwili iliyopita
Mtaa Kwa Mtaa- Country Boy akimshirikisha GNAKO ni moja kati ya track za hiphop ambazo zili,hit sana mwaka jana. Hii hapa ni remix ya hit hio ikiwa mara hii Stamina, ChidiBend na Climax Bibo wameingia mzigoni. DOWNLOAD/LISTEN HERE
Comments
Post a Comment