TAMKO LA NAY WA MITEGO KUHUSU KILI AWARDS

Baada ya Diamond Platinumz kuzishtumu tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards kwa kusema kua baadhi ya nominees hawastahili na kuna wasanii wazuri wameachwa nje Emmnuel Elbariki au Nay Wa Mitego naye ametoa maoni yake ya tuzo hizo.
 Msanii MO MUSIC aliyeta,hit na BASI NENDA mwaka jana na saa hii NITAZOEA amekua chanzo kikubwa cha kashfa za tuzo hizi baada ya yeye kuwa nominated katka category ya BEST MALE ARTISTE OF THE YEAR, wengi wakisema kwambwa alistahili kuwa katka category ya UPCOMING ARTISTE OF THE YEAR.
   Kupindia Instagram, Nay alikua na haya ya kusema....


#Mo_Music ndio msanii aliye stahili hii tuzo ya msanii bora anaechipukia. Kila mtanzanzia anaependa na kufatilia Muziki anajua ilo.. cha ajabu hayupo ata kwny iyo category.
Wasanii wote waliowekwa kwny hii category (msanii bora anae chipukia) hakuna ata mmoja anae stahili hii tuzo... 1. #Becka_Title sio msanii chipukizi yupo miaka mingi tuh na Hua anafanya poa.
2. #Billnas.. watu kibao hawamjui, kwa sisi wachache tunaomjua. Wimbo ni wa mwaka huu.
3. #Baraka_da_Prince ameanza kufanya vizuri mwaka huu na c mwaka jana, na wimbo wa #SiachaniNawe ndio watu haswaa wamemuelewa...
Nani hua anapanga izi vitu!? Izi tuzo mwaka huu zimewashinda jipangeni upya...
Nikipata tym nitaendelea na kipengele kingine.
Huo ni mtazamo wangu, ukimind kimpango wako.. das me #TrueBoy”

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele