SURPRISE COLLABO YA DIAMOND
Toka mwezi uanze kumekua kukingojea surprise collabo ya Diamond Platinumz na msanii mmoja wa kimataifa. Kupitia Instagram Diamond ame,share form inayoonyesha kuwa ametuma video ya collabo yake na Mr.Flavour iitwato NANA kwenye kituo cha runinga cha BET International ikionyesha kua video hio iliyoongozwa na Godfather inatarajiwa kutoka May 29.
Mbali na ku,tease form hio bado management yake imesema Ijumaa ndio wataweka wazi ni wimbo gani anaotaka kuachia, lakini ni international collabo.
''Vitu vyote tutasema kwa wananchi wetu Ijumaa.... mashabiki wa Diamond wasubirie mpaka Ijumaa tutaanza rasmi kusema ni wimbo amabo tuna release. ni Diamond na Flavour au ni Diamond na P-Square au ni msanii wa Marekani" Alisema Babu Tale.

Comments
Post a Comment