Alikiba aonyesha picha zaidi ya utengenezaji wa video inayosubiriwa kwa hamu na gamu-Cheketua
Video hio imeongozwa na Director Meji Alabi wa Africa Kusini. Alabi amefanya kazi na wasanii kadhaa wenye majina ya kutajika kama vile;
Asay-Eyo, Seyi Shay feat Wizkid-Crazy, Seyi Shay feat Patoranking, shaydee-Murda
Comments
Post a Comment