CASH ERA akana madai ya kushindwa kumlipa video vixen

Wanamuita cash era aka mr chiringongo.Ni msanii chipukizi aliyegonga vichwa vya wadau wengi mwaka jana alipodunda na bonge la ngoma kwa jina chiringongo.Bonge la hit ndani humo akiwashirikisha wasanii kigoto na susumila ambao kwa wakati huo walikua chini ya mwavuli wa Hornet Records.

Kwa sasa msanii huyu yuko chini ya familia ya Number one records na habari njema kwa mashabiki wake ni kwamba tayari amekamilisha project yake mpya ambayo atakua anaidondosha uraiani hivi karibuni.Huyu hapa msikilize akizungumzia project hiyo pamoja na majibu yake kuhusu kilichosababisha project hiyo kuchelewa pamoja na tetesi zinazomuandama kuhusu yeye kushindwa kumlipa video vixen ambaye alifaa kuhusika katika project hiyo inayotarajiwa.
      MSIKILIZE HAPA

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele