COMING SOON: Chikuzee & Dogo Richie

Hitmaker Chikuzee na mkali wa nyimbo za mapenzi Dogo Richie wanatarajiwa kuachilia bonge la collabo baada ya kukamilika kwa Mwezi wa Ramadhani.

Hit hio tarajiwa imepikwa na producer wa Jungle MastersEmmy Dee.

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele