COMING SOON: Lypso & KDaddy-BADO NASONGA

Ikiwa ni kazi ya Producer Nickson, aliyetayarisha ngoma ya Elani-KooKoo, Lypso na Kdaddy wanatarajiwa kutoa ngoma yao mpya inayoiwa Bado Nasonga.
Track hii itadondoshwa pamoja na video yake ikiwa ni kazi ya Director Cobby Joe wa Sportlight Media.

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele