COMING SOON

Mark your calendars.......  on 22nd JUNE 2015, kijana chipukizi anayekuja kwa kasi sana, aliyetamba na ngoma yake ya CHIRINGONGO aliyomshirikisha SUSUMILA na KIGOTO,na ambaye ngoma yake ZUNGULUKA inatesa kwa  sana hewani, CASH ERA au ukipenda MR.CHIRINGONGO
 
....atakua na double release ya video yake ya ZUNGULUKA ( IKO HAPA), na track mpya inayoenda kwa jina DEBORAH.



Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele