Diamond Platinumz kuzindua headphones/earphones #chibubeats mwaka huu

Kama Dr Dre, Ludacris na 50cents, Diamond Platinumz naye ameingia katika biashara ya headphones/earphones.                                              
   
Diamond alitangaza project hio alipokua anampongeza Flaviana Matata katika birthday yake.
"kama huna taarifa bado, huyu ndiye aliyefanya account yangu ya facebook kuwa verified...na huyuhuyu ndiye aliyefanya kabla ya mwaka huu kuisha nitambulishe #headphones & #earphones zangu! #chibubeats"....aliandika Diamond.

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele