NEW MUSIC: Rabbit King Kaka Feat Rich Mavoko-LINI

Baada ya collabo yao ya kwanza ya wimbo NJOO kupeta sana, Rabbit aka Kaka Sungura na Rich Mavoko wamekuja tena na collabo ingine ya wimbo LINI.
Track hii ni kazi ya producer Cedo wa Pacho Studio, Nairobi.
  LISTEN / DOWNLOAD HERE

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele