NEW MUSIC: Susumila Feat Kush Tracey-UMENITOSHA

Ikiwa ni takriban mwezi mmoja na nusu tangu SUSUMILA kuachia video ya IHALE,
SUSUMILA amekuja tena na ngoma mpya akiwa amemshirikisha KUSH TRACEY ambaye amejulikana kwa goma ya HUWEZI NIDANDIA *response ya DANDIA ya KRISTOFF, FRASHA na RABBIT.

Ngoma hii imetayarishwa na producer AMZ WA LEO, SQ RECORDS              DOWNLOAD / LISTEN HERE

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele