Nimefanya collabo na Alikiba-Davido


Katika tuzo za MAMA 2015 zilizofanyika wikend iliyopita huko Africa kusini, mwanahabari mwenye jina la kutajika kutoka tanzania Millardayo, alipata fursa ya kumhoji Davido katika redcarpet.

Katika maongezi yao, Davido ambaye katika tuzo hizo alishinda kama Mwanamziki bora wa kiume Africa, alisema kwamba amefanya collabo na Alikiba. Japo hakutoa ufafanuzi zaidi lakini alisema ni wimbo mkali na watu wausubirie.

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele