NEW MUSIC: BenPol- All Of Me & Drunk in Love (cover-done in swahili traditional dance)
Mkali huyu wa utunzi wa mashairi na mkali wa vocals kaamua kufanya cover ya nyimbo mbili za DRUNK IN LOVE na ALL OF ME katika mahadhi ya kiafrika.....Kama kawaida, ameonyesha umahiri wake wa sauti na amezitendea haki nyimbo izi.
BONYEZA HAPA KUSKIZA
Comments
Post a Comment