Celebrity couple hii, wote wakiwa ni wakali wa sauti wamekuja na remix ya wimbo bora wa R&B katika tuzo za KTMA 2015 wa Jux- SISIKII. BONYEZA HAPA KUUSKILIZA
Mtaa Kwa Mtaa- Country Boy akimshirikisha GNAKO ni moja kati ya track za hiphop ambazo zili,hit sana mwaka jana. Hii hapa ni remix ya hit hio ikiwa mara hii Stamina, ChidiBend na Climax Bibo wameingia mzigoni. DOWNLOAD/LISTEN HERE
Comments
Post a Comment