Hili ni pini jipya kutoka kwa kundi la B.O.B MICHARAZO( Mr Blue, Nyandu Tozzy, Becka Tittle, Blood Gazza, Baby MC, Uswege master, Cotton, Ivason)...Ngoma hii imefanywa na producer Marco Charlie.
Rapper mwenye umri mdogo kabisa mwenye umri wa miaka 14 katika mziki wa Tanzania, Dogo Dee ameshirikisha mwimbaji mwenye sauti na utunzi, Baraka Da Prince katika kipini hiki kipya kwa jina Wabana Rizki CLICK HERE TO DOWNLOAD/LISTEN
Comments
Post a Comment