NEW VIDEO: Dark Master-MADUSKO
Mbali na Noorah aka Baba Stylz, member mwengine ambaye bado ako hai katika Chamber Squad ni Dark Master. Leo ameachini video yake mpya iliyo,direct,iwa KyonaBoy Production. Member wengine waliofariki dunia ni ALBERT MANGWEA na MEZ B [R.I.P].
Comments
Post a Comment