NEW VIDEO: Hemedy PHD-IMEBAKI STORY

“I am still proud kushoot bongo sababu locations kali tunazo,” Hemedy alisema hivi karibuni.
“Nahamasisha wasanii wenzangu kutumia more nyumbani na kupatangaza pia,” aliongeza. Alisema video hiyo imefanyika kwenye mikoa ya Arusha, Morogoro, Dar es Salaam na Manyara na kwamba imemgharimu takriban shilingi milioni 15 ( tnz shlngs) “Thank God niliweka malengo ya kufanya kitu kizuri home, nafikiri ni video yenye kiwango kizuri na inaitangaza Tanzania pia sababu nimetumia sehemu kubwa kuonyesha uzuri wa nchi.”

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele