NEW VIDEO: Numbe One Academia-NIWE NAWE
NUMBER ONE ACADEMIA ni kundi la mziki kutoka pwani ambalo linawajumuishi wakali wanne SUDIBOY, TIZZOH (chapatizo), SHEMBWANA MASAUTI na KIGOTO M'MBONDE. Kundi hili liko katika maangalizi ya producer TK2 wa NUMBER ONE RECORDS.
Hii ni video yao mpya ya wimbo ambao unapeta sana hewani NIWE NAWE.
Comments
Post a Comment