Kutoka kwaproducer Cedo wa Pacho Entertainment, hii ni mpya kali ya mkongwe wa mziki wa pwani Nyota Ndogo akiwa amemshirikisha rapper wa P-Unit, Frasha.
Mtaa Kwa Mtaa- Country Boy akimshirikisha GNAKO ni moja kati ya track za hiphop ambazo zili,hit sana mwaka jana. Hii hapa ni remix ya hit hio ikiwa mara hii Stamina, ChidiBend na Climax Bibo wameingia mzigoni. DOWNLOAD/LISTEN HERE
Comments
Post a Comment