Baada ya kimya kirefu katika mziki, msanii mkongwe Wahu amevunja ukimya huo na kuja na ngoma hii mpya aliyomshirikisha Moti Ice , ambaye Wahu anasema anaa amani kubwa sana katika talanta yake.
Mtaa Kwa Mtaa- Country Boy akimshirikisha GNAKO ni moja kati ya track za hiphop ambazo zili,hit sana mwaka jana. Hii hapa ni remix ya hit hio ikiwa mara hii Stamina, ChidiBend na Climax Bibo wameingia mzigoni. DOWNLOAD/LISTEN HERE
Comments
Post a Comment