Ni kweli Dogo Richie aliomba picha za uchi? waskilize wahusika wote wawili hapa wakifunguka
Kulikua na tetesi mitandaoni kwamba msanii Dogo Richie aliomba picha za uchi kutoka kwa shabiki wake mmoja wa kike. Picha za maongezi kati ya mlalamishi, kwa jina Rahima zilikuepo kuonyesha uhalali wa malalamishi hayo.
Ili kubaini ukweli, tulilivalia njuga swala hili na kutafta wahusika ili tuskize pande zote mbili na tukutaarifu undani wa swala hili kwani si kawaida watu wazima kuanika maongezi yao binafsi hadharani na tujue mbivu na mbichi. Tulifanikiwa kuwapata wahusika wote wawili na tukafanya mahojiano nao kwa njia ya simu...Bila ya kuongeza maneno kwanza tumsikize msanii dogo richie alikua na yapi ya kusema kuhusu malalamishi ya mwanadada huyo..... BONYEZA HAPA KUMSIKIZA DOGO RICHIE.............
rahima naye aongea
Pia tulipata nafasi ya kumhoji mdada mwenyewe mlalamishi ambaye alitapika nyongo na kuelezea upande wake wa stori,huyu hapa msikilize..... BONYEZA HAPA KUMSIKILIZA RAHIMA AKIONGEA.....naam nadhani imeskia kutoka kwa pande zote mbili mizani unayo pima mzinguaji ni nani.
Comments
Post a Comment