THROWBACK THURSDAY: Susumila-NGANGARI KINOMA
Mwaka ukiwa ni 2007, Yusuf Kombo aka Kanali au muite tu Susumila, akiwa Greenhouse records katika mikono ya producer mkongwe KShort na Jackoloops alivuma sana na ngoma hii ambayo iliwashirikisha G.I.T na Lady She. Video ilifanywa na Lil Guy G wa Digital Pictures.
Comments
Post a Comment