ThrowBackThursday... Cannibal & Sharama-STREET HUSTLER


Enzi zile Tabasamu Records, ya producer Bably Omar ikiwa ndio studio iliyokua inatamba sana mombasa, na pwani kwa ujumla, Cannibal na Sharama, members wa kundi kubwa la Ukoo Flani walichipuka na  hit hii ambayo ilikua anthem katika anga za mziki Kenya nzima.


Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele