New video; Yamoto Band-CHEZAA KWA MADOIDO


Ile video iliyokua ikisubiriwa kwa hamu sana imedondoshwa.
Video hii ilifanyiwa Africa Kusini na director gwiji Godfather. Gharama zote za video hii zilismamiwa na Diamond Platinumz



Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele