A Million Star Search ilipotelea wapi? Producer Khalid aeleza kwa undani yaliyojiri

A Million Records, kwa uongozi wa Producer Khalid walianzisha A Million Star Search, tamasha ambalo lengo lake ilikua ni kuanzisha mchakato wa kutafuta msanii mchanga aliye na talanta na kusmamiwa na record label hio.
Baada ya mda tamasha hilo lilienda chini ya maji na wengi wamekua wakijiuliza maswali kuhusu A Million Stat Search.....Producer Khalid, C.E.O wa A Million Records kupiita ukurasa wake wa facebook alifunguka haya..
Ati A Million Star Search ilienda wapi?
Nilipokuja na idea ya A Million Star Search watu wengi kutoka hapa Mombasa walidharau na kukejeli kama kawaida yao. Kitu hawakujua ni kuwa nilikuwa nimetenga one million shillings za hiyo Star Search. 250k mshindi, 150k wa pili na 100k mshindi wa Tatu. Advert ya radio nililipa 150k ndio ikuwe mentioned everyday, judges walitoka Nairobi na host, wasanii waliokuwa wakiperform kama Dazlah, Sudi, Susumila wote walilipwa. Advert za banners, posters and other logistics zili cost sana. Chenye nilitaka ilikuwa real talent coz I know how to turn talent into money. Wengi mukaanza kejeli mbona nisim sign Sis P Kwanza ndio nitafute mwengine. Turn out club ilijaa fans but not participants, walikuja kulewa na ku have fun na kuangalia wasanii but si kuingia Star Search. May be kwa sababu ya dharau, pengine ujinga au hawakujua wanachokosa. Less than 10 people participated in A Million Star Search though club zilifurika South coast na Voi. Hawa wote talent zao zilikuwa chini sana.Kulikuwa na maeneo mengi sikwenda kama malindi, mariakani mombasa town na kwengineko, Since pressure ilikuwa imezidi ati nimfanye Sis P superstar Kwanza. ikabidi nisitishe Star Search kwa muda nimfanye kweli Superstar. Sasa bado safari ndio yaanza, Kuna international collabos nyingi nimempangia, tour na shows December na mengi mazuri tu. Haya yote ilikuwa nimfanyie mshindi wa A Million Star Search. lakini bado nitawapa fursa nyengine mwaka ujao. Kila mwaka nitakuwa na sign msanii mmoja kwa A Million Star Search kando na kumpa 250k. Wale washiriki wa mwaka Huu, mwaka ujao nitawapa kipaombele, nitawajumuisha na Wale wapya. Nadhani saa hii mnapiga kelele mkiuliza kwa sababu mshajua ninachoweza kufanya... I think you should know people.... Tuonane mwaka ujao kwa A Million Star Search. Ni hayo tu kwa sasa."

 Kupikitia segment ya Showbiz Wednesday, kipindi cha Mashavmashav University, Gates na Lucas walimhoji Producer Khalid kuhusu tamasha hilo na alikua na haya ya kusema...
MSKILIZE PRODUCER KHALID HAPA 

Comments

  1. Sisemi kitu. Nangoja Kuona ya next watampata star ama vipi?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele