Collabo ya Alikiba na SautiSol ipo njiani


Mkali wa bongofleva, Alikiba aka Kingkiba kama mashabiki wake wanavyopenda kumuita, pamoja na SautiSol kupitia account zao na Instagram wamedokeza ya kwamba kuna collabo wamefanya jijini Nairobi na inafikishwa uraiani karibuni tu.

SautiSol wali,post:
Kazi ipo. King Kiba na SautiSol.Muziki wa Afrika. #LiveAndDieInAfrika #Kenya#Tanzania
Hatuna budi bali kukaa mkao wa kula tukingoja hit hii tarajiwa ikipakuliwa.

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele