Dogo Richie Aongelea kuhusu wimbo wake wa "Mziki" ambao umezua gumzo


Msanii Dogo Richie amekua kimya kiasi kwenye vyombo vya habari tangu aachilie track ya "Mziki" aliyomshirikisha CHIKUZEE. Track ya "Mziki" kwa sasa ni ngoma ambayo hadi sasa imeendelea kuzua gumzo huku wengi wakijiuliza je ilikua jibu kwa ngoma ya tuliza nyavu ya susumila?...... Je ngoma hiyo ilisababisha beef kati yake na Susumila, uhusiano wake na susumila kwa sasa uko vipi je kuna beef?..je anaizungumziaje beef ya Susumila na Chikuzee?...huyu hapa Dogo Richie msikilize apate kukujibu maswali yote haya....
BONYEZA HAPA KUMSIKILIZA DOGO RICHIE

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele