Hii hapa ni Deborah Refix ya CashEra na kionjo cha video yake mpya
Baada ya kufanya Debora Remix aliyomshirikisha Chikuzee, msanii CashEra aka Mr.Chiringongo alikosana na producer wake TK2 kwa madai ya kua TK2 alimkataza Chikuzee kuenda shooting ya video hio, CashEra amefanya Debora Refix ambayo ndio itakayo tumika katika video atakayoiachia tarehe 3, Novemba 2015. (ipate hapa)
Hiki hapa ni kionjo cha video hio.
Comments
Post a Comment