Msikilize Dogo Richie akiongelea kazi alizopanga kuachia na skiza kionjo cha wimbo aliomshirikisha Abdu Kiba
Akiwa bado anasumbua anga za mziki na kibao cha wimbo wake wa mziki alimshirikisha Chikuzee, tuliweza kufanya mahojiano na Dogo Richie kujua ni kipi alichopangia fans wake na amejipangaje katika kazi yake ya mziki....
skiliza dogo richie na teaser ya wimbo wake na Abdu KIBA
Comments
Post a Comment