NEW MUSIC: Mtu Chee [ Stamina, CountryBoy & YoungKiller] Feat Jux & Deddy-MTU TATU
MTU CHEE ni kundi ambalo lilikua limeunda na rapper watatu- Stamina, Country Boy na Young Dee, lakini hivi majuzi Young Dee alijitoa katika kundi hilo hakidai halina malengo na nafasi yake kuchukuliwa na Eric Msodoki aka Young Killer. Hii hapa ni track yako mpya wakiwa wamewashirikisha Jux na Deddy.
Bonyeza hapa kuskiliza/download
Comments
Post a Comment